African Storybook
Menu
Kumtembelea Bibi
Ursula Nafula
Catherine Groenewald
Kiswahili
Odongo na Apiyo walisubiri kwa hamu likizo kufika.
Ulikuwa wakati wa kumtembelea bibi yao.
Waliposafiri, waliona milima, wanyama na mashamba.
Baada ya muda, Odongo na Apiyo walilala.
Walimkuta bibi yao akipumzika chini ya mti.
Bibi alicheza na kuimba.

Watoto walimpatia zawadi zake.
Bibi alifurahi akawapa baraka zake.
Odongo na Apiyo walicheza na vipepeo na ndege.
Walipanda miti na wakacheza ziwani.
Walichoka sana wakalala kabla kumaliza chakula cha jioni.
Walimsaidia bibi kukusanya mayai na kuchuma mboga.
Bibi aliwafunza Odongo na Apiyo kupika vyakula tofauti.
Odongo aliwapeleka ng'ombe wa bibi malishoni.

Waliila mimea ya jirani.
Walitembelea kibanda cha bibi sokoni.
Jioni, walimsaidia bibi kuhesabu pesa alizopata.
Hatimaye, likizo ilikamilika.

Bibi aliwapakia chakula cha kula njiani.
Kabla ya kuondoka, walisema, "Bibi, njoo nasi."
Odongo na Apiyo walimkumbatia bibi.

"Kwaheri, bibi," walisema.
Maisha yapi ni mazuri?

Ya mjini au ya kijijini?
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Kumtembelea Bibi
Author - Violet Otieno
Translation - Ursula Nafula
Illustration - Catherine Groenewald
Language - Kiswahili
Level - First words
© African Storybook Initiative 2015
Creative Commons: Attribution 4.0
Source www.africanstorybook.org
Menu
  • Navigate

    Navigate through the story by swiping right or left or clicking when the cursors changes to an arrow on the right or the left edge of the screen.

    Tap or click on the centre of the page to see, or remove the menu bars at the top and the bottom of the screen. You can also use the ESC key.

    You can use the slider at the bottom as a way to move quickly through the story. On a mobile device tap on the slider before you drag the slider button.

    Click or tap to return to African Storybook.

  • Share
    If you have a Twitter or Facebook account, you can share this story on your page or a page you manage. You can also copy the web link (URL) for this story.
    • Twitter
    • Facebook
    • Url
  • Rate
    Other visitors rated this story

    Tell us how much you liked the story – drag the scroller to highlight one or more stars
    • Submit
  • Comment
    Read other people’s comments on the story, or add your own.
    • Enter your comment
    • Name
    • E-mail
    • Post
  • Translations and adaptations
    • Vakansie by Ouma
      Afrikaans (Adaptation)
    • Vakansies by ouma
      Afrikaans (Translation)
    • في عطلة مع الجدة
      Arabic (Translation)
    • Mondli Ne Mbali Kɔsra Wɔn Nanabaa
      Asante Twi (Translation)
    • Mupumuno Abankaaka
      ChiTonga (Translation)
    • Cuti kwa Ambuya
      CiNyanja (Translation)
    • Ywomirok bothi Adhadha
      Dhopadhola (Translation)
    • Holidays with grandmother
      English (Original)
    • Mondli and Mbali visit grandmother
      English (Adaptation)
    • Visiting grandmother
      English (Adaptation)
    • Holidays with grandmother (Colour-in)
      English (Adaptation)
    • Rendre visite à mamie
      French (Translation)
    • Siwtaare bee maama
      Fulfulde Mbororoore (Translation)
    • Cuuti Kuli Banakulu
      IciBemba (Translation)
    • Amalanga wokuphumula nogogo
      isiNdebele (Translation)
    • ULilitha noLuniko batyelela umakhulu wabo
      isiXhosa (Translation)
    • UMondli noMbali bavakashela ugogo wabo
      isiZulu (Translation)
    • Abana mu biruhuko
      Kinyarwanda (Translation)
    • Likizo kwa Bibi
      Kiswahili (Translation)
    • Meemè yee wùn à yaàyá
      Lámnsoʼ (Translation)
    • Ohuŋuumulira Ewa Nguhwa
      Lunyole (Adaptation)
    • Ohuŋumulira Ewa Nguhwa
      Lunyole (Translation)
    • Ekiwuumulo ni dhaadha omukazi
      Lusoga (Translation)
    • Okucaalira dhaadha omukazi
      Lusoga (Translation)
    • Akilakin Ata Egolitoe Esukul
      Ng’aturkana (Translation)
    • Amaulukho Wa Kukhu
      Oluwanga (Translation)
    • Re etela koko
      Sepedi (Translation)
    • Matsatsi a phomolo le nkgono
      Sesotho (South Africa) (Translation)
    • Morwesi le Pule ba etela nkoko
      Setswana (Translation)
    • Kwapumulo Ni Bokuku
      SiLozi (Translation)
    • Ngesikhatsi semaholide nagogo
      Siswati (Translation)
    • Mondli Ne Mbali N Kaa Ba Makpeem
      Talen (Translation)
    • Gui̱l Mandɔɔŋ
      Thok Nath (Nuer) (Translation)
    • Holodeyi na makhulu
      Tshivenḓa (Translation)
    • Ku endzela kokwana wa xisati hi tiholideyi
      Xitsonga (Translation)
  • Download to read
    Landscape version
  • Download to print
    Portrait (booklet) version
  • Download EPUB