Ninapenda Kusoma
Letta Machoga
Wiehan de Jager

Mimi ninapenda kusoma.

1

Nitamsomea nani?

2

Lena amelala.

3

Nitamsomea nani?

4

Mama na bibi wanapika.

5

Ni nani nitakayemsomea?

6

Baba na mjomba wanarekebisha gari.

7

Nitamsomea nani? Nitasoma kitabu mimi mwenyewe!

8

Maswali: 1. Mtoto anapotafuta mtu wa kumsomea, anamkuta nani kwanza? 2. Kwa nini hawezi kuwasomea mama na bibi? 3. Baba na mjomba wanafanya nini? 4. Je, wewe unapenda kusoma vitabu vya aina gani?

9
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Ninapenda Kusoma
Author - Letta Machoga
Adaptation - Pete Mhunzi
Illustration - Wiehan de Jager
Language - Kiswahili
Level - First words