Naweza kufanya hili!
World Education
Silva Afonso

1

Amelia anamka na anadhani, "Leo ni siku yangu ya kwanza ya shule."

2

3

"Carlos, ninafanya nini?" Amelia anauliza. "Nitakwambia," Carlos anajibu.

4

5

Carlos anamwambia Amelia kuosha uso wake. Amelia anasema, "Ninaweza kuosha uso wangu. Na kisha?"

6

7

Carlos anamwambia Amelia kupiga meno yake. Amelia anasema, "Ninaweza kupiga meno yangu na kisha?"

8

9

Carlos amwambia Amelia kwamba lazima ale. Amelia anasema, "Ninajua jinsi ya kula, na kisha?"

10

11

Carlos anamwambia Amelia kuvaa sare yake. Amelia anasema, "Ninaweza kuvaa sare yangu. Na kisha?"

12

13

Carlos anamwambia Amelia kuchukua mfuko wake. Amelia anasema, "Ninaweza kuchukua mfuko wangu na kisha?"

14

15

Carlos anasema, "Lazima uende shuleni." Amelia anasema, "Ninaweza kwenda shule, na kisha?"

16

17

Carlos anasema, "Lazima uingie darasani." Amelia anajibu, "Ninaweza kuingia darasa na kisha?"

18

19

20

21
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Naweza kufanya hili!
Author - World Education
Translation - Hannington Owere
Illustration - Silva Afonso
Language - Kiswahili
Level - First sentences