Wapi paka wangu?
Je, yuko chini ya kitanda?
Yuko juu ya kabati?
Yuko nyuma ya sofa?
Yuko karibu na pipa la taka?
Yuko ndani ya kikapu?
Yuko nje?
Yuko hapa!